Website ya beipoa.com iko katika marekebisho pamoja na kuweka utaratibu mzuri wa kulipia na usafirishaji wa bidhaa kumfikia mteja. Utaratibu huu mpya itakuwa ni huduma nzuri na nyepesi kwa wote, kuanzia muuzaji pamoja na mnunuzi. Tutaboresha mawasiliano na kuhakikisha huduma kwa wateja unakuwa mzuri na wa uhakika.

Ndani ya miezi sita, website hii itarudi na nguvu mpya na ya uhakika.

Kwa wanao fuatilia watagundua tumeongeza mwezi mmoja ili kuweka kila kitu sawa, samahani kwa hilo

Muda uliobaki kwa Tuvoti kurudi

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa kutuandikia : uongozi@beipoa.com